Artist | Marioo |
Lyrics
Nipende sana mi nataka wale
Walosema utaniacha wanune
Tupendane yani mpaka wale
Walosubiri tuachane wachunde
Acha wakae vikao wamalize waganga
Yanawashinda ya kwako hao ni kama waganga hao hao
Hawatulii tulii kwao unawaponza uganga
Huoni ata sura zao mbaya aah
Wananitaka misiwataki nakutaka wewe tu
Wakinifata nakimbia nakufata wewe tu
Asa we ukitaka mi nilie amua wewe tuu
Ama nitoke adharani nisemee
I love you
I love you
I love you
I love you
Ndakukunda nshetee teamo tecero
Yaskedai honey…. Nakupenda
Kila siku nikikuona nakuona mpya
Kila siku nikikuona nakuona we mzuri ww
Kila mara yako ww naona taa
Hapa bado namuomba mungu wamwisho uwe ni ww
Wananitaka mi siwataki nakutaka wewe
Wakinifata nakimbia mbio nakutaka wewe tu
Ata ukitaka mi nilie utaamua wewe tuu
Ata ukitaka nitoke adharani nitangaze ya kwambaa
I love you
I love you
I love you
I love you
Leave a Reply